KWA IMANI TUTASHINDA

ACHA KUKATA TAMAA KUNA Mtu Mahali anakutazama na Anakuamini wewe na wewe ni Mfano Kwake USIMUANGUSHE..!!

Tunajua tunawindwa na maadui lakini sisi tunalindwa na Nguvu ya MUNGU

Basi tukipata neema ya kulitambua hilo ni vema tukaaa fanya yafuatayo;

Essential element to help us hear God’s voice…

(a) The Bible

The bible is the living active word of God. so Myfriend it’s good to reading the bible just 10 minutes a day,every day,can change the rest of your days.

(b) Prayer

Prayer is our direct connection to Jesus.because prayer is a time to communicate honestly and sincerely with Jesus and give him honor and .

(c) A distraction – free Environment

Jesus often had to leave town to get a few moment alone with his heavenly father (luke 5:16)

Tafakari…!?????

Sasa nini kinafata ni wewe mwenyewe binafsi kuchukua Maamuzi yaliyo sahihi….

Www.DidasMswete.com

Advertisements